Recent content by Issa gidioni

  1. Issa gidioni

    Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Ndugu zangu tusaidiane kupeana information za kazi nina mzee wangu ni mpishi mzuri alikuwa anafanya kazi ruaha national park company ya foxes safari kwa sasa yupo tu na anahitaji kazi ndugu zangu
  2. Issa gidioni

    Iringa Municipality: The Photo Gallery

    Home sweet home nitarudi tu ipo cku
  3. Issa gidioni

    Nahitaji kazi ya udereva

    Ndugu zangu mimi ni dereva mzuri sana nahitaji kazi ya udereva leseni yangu ni daraja C na ni dereva wa gari zozote zile ndugu zangu tusaidiane jamani ndugu zangu iyo certificate yangu
Back
Top Bottom