Recent content by Isoko isongole

  1. I

    Picha kama hizi zamani zilitisha. Kwa sasa ni kawaida. Hata watoto hawaziogopi

    K Kwahiyo anaepaswa kuonewa huruma hapa ni Hamas au Israel ambae yuko hoi?
  2. I

    Vijana wa kileo acheni kuweka weka picha na video zenu mitandaoni, usije ukapatwa kama yaliyompata huyu binti

    Wewe ni mmoja wao hayo mapichapicha ya mapazia uliyotuandikia unamaanisha nini?
  3. I

    Vijana wa kileo acheni kuweka weka picha na video zenu mitandaoni, usije ukapatwa kama yaliyompata huyu binti

    Ndicho ulichokaririshwa shuleni hicho hadi kushindwa kutumia akiliyako ya kawaida kupambanua mambo?
  4. I

    Biashara ya madini ni kichaa. Kaka yangu kapoteza milioni 120 mwezi huu nimemkuta ameshaanza kudata

    Kwa unavyoamini ni lazima lakini sio kila mchimbaji animation kama yako
  5. I

    Zipo nyakati za kudhalilika wakati wa kujitafuta

    Katugusa wengi Mungu aendelee kutusimamia kwakweli.
  6. I

    Vijana wa kileo acheni kuweka weka picha na video zenu mitandaoni, usije ukapatwa kama yaliyompata huyu binti

    Kuandika kiingereza hakukutenganishi na ujinga uliokuanao,ilitosha kuonya kwamba vijana waache kuanika maishayao mitandaoni,ungeeleweka zaidi kuliko hichi ulichotuandikia
  7. I

    Vijana wa kileo acheni kuweka weka picha na video zenu mitandaoni, usije ukapatwa kama yaliyompata huyu binti

    Hujakosea utakuta jitu zima linajivunia na akili za vidato navyuo lakini linashindwa kutumia akili yake ya kawaida linaleta stori za kusadikika mi huwa nakerwa sana na tabia hizi. Ukitaka nikudharau we niletee habari za kichawichawi,mara utasikia mtu kaanguka na ungo mara watu wamenasana...
  8. I

    Nimekuwa mtu wa kusaidia sana ila sifanikiwi na kila siku niko palepale maishani

    Ombaomba wa barabarani sio wahitaji wengi wao ni wachangishafedha,unapotoa msaada usijali uchawi kwani mchawi anaweza kukudhuru hata bila kumpa msaada isitoshe unaposaidia jua umeguswa na shida za mtu hivyo ni roho ya ki Mungu iliyo ndani yako ndio inakusukuma kusaidia,mathalani mimi ni mtu wa...
  9. I

    Nimekuwa mtu wa kusaidia sana ila sifanikiwi na kila siku niko palepale maishani

    Kizazichako Hivyo ndivyo ulivyoumbwa kiufupi hiyo ndio tabia yako wala usijilaumu,utakapojizuia kumsaidia mtu wakati uwezo wa kumsaidia unao utajikuta unakosa amani. We saidia pale unapoweza pasipo kujiumiza matunda yako yatakujaliwa na kizazichako cha baadae pasipowao kujua neema zinatokea...
  10. I

    Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Mkuu umeongea point tupu wafuasi wengi wa mungu wa masikini ni wale ambao hawatumii akili ya kawaida kama uliyotumia wewe wao walisombwa na upepo uliovuma wa kusifia. Huwezi kumpata mfuasiwake hata mmoja ambae amewahi kufikilia mambo nyeti kama haya. Nakumbuka sikumoja alisimamishwa wapi...
  11. I

    Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Sema hutaki akuone ukibadirisha pisi kali,hata hizo heka 5 anazomiliki baba yako (kama ni kweli lakini) akija kufariki utaziuza afu utaendelea kupanga ili uendelee kubadirisha madem.
  12. I

    Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Sidhani kama ataelewa hili,huyu nahisi kazaliwa mjini kakulia mjini hata mila na desturi hazijui ndio maana anashangaa,koo nyingi za kiafrika zilikua hivi kabla ya kuja kuvurugwa na wavamizi.
  13. I

    Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    U Usiangalie alipojenga babayako hapo alipohesabiwa hatua 17 ×17 hawezi kukugawia ardhi wakati hana nyingine zaidi ya hiyo tembea dogo uone familia zinamiliki hadi heka 100,mzazi kukupa heka 10 haoni hatari kuna ubaya gani ukijenga na kuanzisha familia hapo? Huku mjini tunaishi ki selfish ndio...
Back
Top Bottom