Ni kweli serikali yetu inatakiwa kusimama na kenya pamoja hawa wachina hawa wakichukua bandari hiyo na sie tumeumia coz hatutaweza ku compete noa..bandari yetu ndio itaachwa solemba
Am trying to think hivi kwa kitu kubwa kama government ya kwetu contract yoyote huwa inasomwa na mtu mmoja tu na kusainiwa na huyo mtu basi hakuna hata wanao go through the documents na kubaini mapungufu???au ni wizi tu?
For sure umenena vema kutuongezea stress wananchi..haya mambo ili yaishe inabidi kupitia tena katiba yetu..people are free to do anything now.unless tuwe na katiba strong inayolinda wananchi zaidi ndio tutakaa sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.