Recent content by isley

  1. isley

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Unaweza kuona kama masiara ila wadau wa humu ndio wamenisaidia sana nini nifanye na nini kina madhara... Nilichofanya Mimi sikuwaza nyumba itachukua gharama kiasi gani wadau waliniambia huku, ulifanya hivyo hautojenga. Mimi niliuliza maswali machache mengi nilipitia watu wa huku walivyouliza.na...
  2. isley

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Gharama ni ya msingi tuu basi..
  3. isley

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    3.8m haijapungua hapo, la msingi ni kuanza hizi gharama sa nyingine zinawakatisha watu tamaa nilisoma na kupata mawazo hukuhuku wanajamii walinisaidia.. ungeweza kuwa chini ya hapo ila msingi si wa kuzembea unatakiwa uwe imara kweli
  4. isley

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Vyumba vitatu, Jiko, stoo, sebule, dining makadirio wait nitakujuza angalau hesabu zikaribiane
  5. isley

    Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Nakumbuka niliomba ushauri hapa na nikaanza ujenzi kidogokidogo, kwenye jamvi hili pakawa dira yangu Kila ninalotaka kufanya.. Kila hatua nilipata mrejesho hukuhuku nini nifanye pia kwa kupitia na post za wengine. Kwa sasa nimehamia kwangu japo ndani Bado sijafanya finishing ila Nina amani...
  6. isley

    Naomba kujuzwa ubora au udhaifu wa mabati aina ya Sun Bank

    Nimeezeka na hayo mabati nilitaka alaf ila kipindi hicho sikufanikiwa niliendaa hadi Arusha material hayakuwepo, Kuna mtu Baki ambaye hana maslai na hiyo kampuni alinishauri kama nitaenda sehemu nyingn niende San bank in such walinipa warranty mwaka wa pili huu ni muda mchache kujudge ila yapo...
  7. isley

    Naomba msaada wa mawazo wajenzi nataka kuhamia kwenye nyumba yangu

    Ha ha ha ha kweli unaweza pata vidonda, Asante kwa mawazo mkuu na kwa muda wako
  8. isley

    Naomba msaada wa mawazo wajenzi nataka kuhamia kwenye nyumba yangu

    Asante Sana sikujua kama inaweza kufanya skimming kwenye madirisha peke yake kwanza Asante kwa ushauri
  9. isley

    Naomba msaada wa mawazo wajenzi nataka kuhamia kwenye nyumba yangu

    Nataka kuhamia kwangu mwaka huu nimepiga nyumba plasta Bado kuweka vifaa vya umeme awamu ya pili, Bado draft na vingine vingi.. je nikitafuta hela ya madirisha yanaweza kuwekwa bila kufanya skimming ili nihamie mengine nitaendelea nayo taratibu? Na je kabla ya kuweka madirisha ya aluminium ni...
  10. isley

    Msaada wa bei ya hivi vifaa please

    Asante Sana nitasafiri kununulia vifaa huko kuna unafuu sana
Back
Top Bottom