WALIPOTEA KI VIPI HAWA WANA MAPINDUZI? WAZANZIBARI WALIOKUWA WASOMI MIAKA ILE WALIPOTAKA KULETA MAENDELEO NA UTAWALA BORA KWA NCHI YAO JAMHURI YA WATU WAZANZIBAR...NINI KILIWAFIKA?
Pichani ni Baraza la Mawaziri la mwanzo la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar likiwa pamoja katika jumba la Beit...
WALIPOTEA KI VIPI HAWA WANA MAPINDUZI? WAZANZIBARI WALIOKUWA WASOMI MIAKA ILE WALIPOTAKA KULETA MAENDELEO NA UTAWALA BORA KWA NCHI YAO JAMHURI YA WATU WAZANZIBAR...NINI KILIWAFIKA?
mapinduzi yalikuwa ya uvamizi ya visiwa vya zanzibar wazanzibari wote walikuwa kitu kimoja
kuanzia wale wenye asili za warabu, waafrika na wahindi walikuwa wanaishi vizuri tu na kupendana mpaka watu wenye chuki na wazanzibari ndio wakaleta fitna zao na kuupoteza uhuru wa zanzibar wa...
NANI KAKWAMBIA CCM ITASHINDA UCHAGUZI 2015? NA KATIBA YA ZANZIBAR MULISHAIBADILISHA TAYARI? ALISHINDWA SHAMSU VUAI ALIEKUWA WAZIRI KIONGOZI NA KUNDI LAKE KUIKWAMISHA GNU....JE WEWE CHANGUDOWA:tape2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.