Sielewi kinachoendelea kuhusu mgawo wa umeme katika eneo letu. Hadi leo hii, maeneo yote yanayozunguka Mtaa wa Igumu yana umeme, lakini kijiji chetu bado hakina umeme.
Inashangaza kuona maeneo ya jirani yakiwa na huduma ya umeme huku sisi tukiendelea kukosa huduma hiyo. Tunaomba mamlaka husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.