Recent content by ishu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wanavua pete za ndoa kwa hiyari au ni baada ya mambo kuchacha?

    Kuna wengine wamenunua za buku 3 hadi 5 sa akiwa anashuhuri kufua nk kwa kuogopa kupauka anavua anaweka akitoka anaweza isahau bahsti mbaya,wengine za bei hiyo pia akivaa sana zinaacha alama kidoleni au muwasho anaona bora avue apumzike,wengine ni gold akienda kupupu anavua ili anawe akitoka...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwamudu sisimizi kwa njia ipi?

    Wahenga walisema sisimizi ni dawa ya tumbo so we kula tu unapunguza magonjwa ya tumbo yasiyo na ratiba Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom