Recent content by isaya lameck

  1. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yap ni kweli..lakini what I see, overall play ya Rooney ukiondoa mechi ya juzi imekuwa nzuri sana, that guy plays for the team rather than individual glory like CR....Having Rooney in the team hata kama asipofunga ni inspiration nzuri sana..we angalia alivyocheza kwenye ile mechi na Birmingham...
  2. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wll its true kwamba Rooney is overrated,lakini tukumbuke kile alichofanya last year. Siamini kwamba He has become a bad player in just 8 months...He is having a bad time sawa na Berbatov alivyokuwa in the past 2 years, this year He has become a different and effective player..so I think Rooney...
  3. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yap babu SAF now has full confidence in Berbatov!! worry yangu sasa ni kwa Rooney, I dont know wats going on His mind now after seeing Chicharito making a huge diffrence in such a tense game.
  4. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Munatisha kwa lipi? kwa kukaa miaka 5 bila kombe?kwa kupigwa na timu ndogo kama west brom? kwa lipi embu fafanua//
Back
Top Bottom