mimi nadhani bora kwa sasa ungeenda kujiandikisha pale TAESA opposite na D.I.T ili wakutafutie intern ujishikize kwa kuanzia ukiwa huko ni rahisi kupata mchongo kuliko kukaa nyumbani maana wao wenyewe huwa wanatoa posho na huko utakapo pangiwa kufanya huwa pia wanakupa posho
Salama tu kwema?
Hivyo huwa unatoa oda unatengenezewa kwa dizain unayotaka wewe
check na huyu mama huwa ananitengenezeaga kwa bei ya kuku 0685-627 271.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.