Ni bora ufisadi wa ccm japo kikombe cha kahawa wamenunua na tunakiona kuliko wale waliosema wanunua gari 255 za kampeni lakini mpaka leo hata moja hatujaiona
Sikupingi kwa hilo lakini kwa huku bara serekali imejitahidi katika kanda mbali mbali kujenga miradi mingi tu ya maendeleo wakulalamika hao unaosema watowe rais hakuna mradi hata mmoja ulijengwa huko kwao ni kama wasindikizaji katika huu muungano
Sio mbaya lakini kwa sasa havimsaidii hivyo vitu hata kama hakuzikwa amali zake ndio ngao yake huko aliko mbele yake nyuma yetu,Allah amuepushe na adhabu ya kaburi na moto. Innalilah wainnarajiu'u
Sawa kama ni hivyo strengths za CDM ziko Belgum na Germany sio mbaya lakini kwa Tz ni kujidanganya tu kutoka wabunge zaidi ya 70 hadi 1 bado tu na matumaini kuwa kuna siku kuku atatoa maziwa na vifaranga kunyonya
Daah! CDM ni imara sawa sipingi hilo lakini kampeni sio kigezo cha uimara wa chama kama nihivyo CCM ilijaza zaidi viwanja basi sioni sababu ya CDM kulalamika kuibiwa kura
Thread sio michosho hapa chadema ndio michosho hivi chama hakina wachunguzi wake mpaka inafikua wanachama 19 wanajikusanya na kufika dodoma bila uongozi kuwa na taarifa hiki chama bure kabisa
Sawa mwisho wa yote utamkuta mbowe bora tu hili wapunguze mihemko ya mitandao busara inahitajika zaidi achana na danadana za uchaguzi lakini hii mitandao imechangia zaidi kukiumiza chadema
Hapa tatizo sio lisu tatizo ni chadema waliokubali kumpitisha lisu kugombea urais wakidhani kura zinapigwa na wabelgiji na wajerumani sasa hapa kina halima tayari wamemwaga ugari tunasubiri kina lisu wao wamwage mboga kama wataweza