Recent content by isale lo njofu

  1. I

    Should Churches in Tanzania continue being exempted from Paying Taxes?Tanzania loses 2.6 bln due to this

    Huu Uzi umekuja baada ya makanisa kumuombea TL and therefore hizi ni siasa za maji taka! Kumbuka makanisa yamesamehewa kodi kwa huduma wayotoa mfano elimu, afya ya roho na mwili na pia uchumi.
  2. I

    Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

    Vipi kuhusu kesi hukumu ya kwenda jela maisha kwa BABU SEA na watoto wake wote! Kesi ambayo iliamuliwa kukiwa mashaka lukuki. Vipi kuhusu Mbunge Lema kuwekwa mahabusu zaidi ya miezi mitatu bila sababu za msingi. Vipi kuhusu mgogoro was CUF? Jaji ameanza sihasa(siasa)!
  3. I

    Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Swadakta! Kutokana na matukio ya nyuma, kuna kila sababu ya kumhisi bashite; mosi ni kumshambulia mzee Warioba kwenye mdahalo wa rasimu ya katiba mpya, kuvamia clouds na kutekwa Roma Mkatoliki
  4. I

    Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Kumbe! Mkulu ana sababu zake kumkumbatia MTU ambae alifeli masomo na kufoji vyeti; "MTU wa special mission"
  5. I

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Swali lingine; Nina nani anataka kumuua Lissu? Motive ya kumuua Lissu ni nini? (a) Kumyamazisha kwa sababu anaikosoa sana na kuiumbua sirikali. (b) anatishia wadhifa au maslahi ya kiongozi kwenye chama kwa umaarufu wake? (b)
  6. I

    Godbless Lema: Kutohusisha jambo hili la Lissu na Siasa ni sawa na kutohusisha mbu na malaria

    Kwa hiyo malaria hiyo itakuwa imetokana na mwanadamu na sio mbu?
  7. I

    Viongozi/madiwani wa CHADEMA Ikungi wanashikiliwa na polisi kwa kufanya mkusanyiko bila kibali

    Tatizo ni kutumia vyombo vya dola vibaya. Tumia akili kidogo!
  8. I

    Kupelekwa Nairobi kwa Tundu Lissu kwa sababu za kiusalama kama alivyosema Makene ina maana gani?

    Mkuu hujaelewa mini sasa! Ikiwa wadunguaji waliweza kufanya shambulizi Dodoma mjini tens mchana kweupe wakitumia silaha ya kivita, watashindwa vipi kupenya muhimbili ambapo had I madaktari fake walishapenya! Na isitoshe adui bado ni kitendawili.
  9. I

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Sawa mkuu, Mimi najaribu kuwaza kama hiyo inaweza kuwa sababu/motive.
  10. I

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Vyombo vya habari vya nje vimekuwa vikitangaza hili tukio kama"mkosoaji mkuu wa serikali Tanzania apigwa risasi" ....motive?
  11. I

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kwa utawala huu wanaharati wengi watapotea. Hakuna mwanadamu aliye na mamlaka ya kutoa uhai wa mtu mwingine.Tumwombe Mungu atuvushe salama.
  12. I

    Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Yap, inasemekana mtuhumiwa alikiwa anaishi na ndg yake ambaye ni polisi. Pa wananzengo wanalaumu jeshi LA polisi kufanya kazi chini ya kiwango.
Back
Top Bottom