Ubaya vitu tunavyo jivunia kua vinatutambulisha kama taifa vina athiriwa na mabadiliko ya nchi siku Tenno akisipo kuwepo na mlima kilimanjaro ukabaki Miamba tutajivunia nini?
Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie kua akimuhitaji, sela zao zilizo timizwa,ambazo hazijatimizwa, zilizo ahidiwa tena na kivipi Zita...
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.