Recent content by isaesto

  1. isaesto

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Mtendahaki hujui hata nini kinajadiliwa hapa. Hatuijadili cdm hapa tunaangalia perfomance ya zzk kipindi chake cha kisiasa na misimamo yake ilivyotetereka
  2. isaesto

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Nadhani arud tu kufundisha
  3. isaesto

    Mchina bwana! Ona huyu dada alivyoichakachua ekibinda nkoi

    Huo ni ugonjwa sasa.
  4. isaesto

    Rais amchagua Abdala Mtonga kuwa Internal Auditor General

    Kuna watu wanapaswa waaishie kwenye ngazi flan za uongozi, hii inatokana na uwezo wao mdogo wa kubeba majukum, kama mtu ni mwoga basi ubora wake unaoonekana kwa sasa ni kwa sababu anariport kwa mtu. Aishie hapo tu. Atafutwe mtu mwingine mwenye kifua cha kufanya maamuzi mazito.
  5. isaesto

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Uongozi wa hii nchi unaandaa mazingira mabaya kwa kujenga kizaz chenye chuki na jazba. Hii inamwisho wake tu.
Back
Top Bottom