Recent content by Isaac Yelle

  1. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

    Mindset yako n kubwa sana
  2. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

    Kama unaamini katika imani yako ,achana kabisa na mambo usiyoyajua au yasiyokuhusu kwanza kutokanq na maelezo yako moja kwa moja mimi siwezi kukujibu chochote maana tayari uko na majibu yako!!
  3. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Soon atafika apo kwako na atakudhihirishia kwamba yeye yupo tena kwa vitendo ili ujue kuwa mungu hadhihakiwi, utaleta mrejesho.
  4. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Wewe ndugu una ufahamu sana
  5. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Maana yake kuwa ili watu waweze kukutafsiri vyema au vibaya wanaanzia kukutazama usoni kwanza ,coz uso ndio utambulisho wako
  6. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Tatizo umekula na umeshiba ndio maana unaongea utopolo ,ila ungekuwa na njaa hata hii jeuri usingekuwa nayo,na kiburi chako adabu yake ni siku ya kufa tu ndio utajua kuwa mungu yupo au hayupo
  7. Isaac Yelle

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Mimi nataka kusema tu kuwa mungu hatuwezi kumjua,zaidi ya yale aliyoamua kutujulisha kuhusu yeye, na tunayoyaona na kuyasikia,nataka mjue kila kitu kina mtawala wake sasa nyinyi mkijikuta mnataka kupambana na mtawala wenu maana yake, hamko salama kifikra ,utake kumchimba mungu aliyekuumba na...
Back
Top Bottom