Ubaya au uzuri wa cheti unao taka ww hauwezi badilisha maisha yko kuyatoa hapo ulipo kwenda hatua ya mafanikio zaid, ushauri wangu mshirikishe Mungu ktk mambo yko, amua vzr na panga vzr tktk mikakati yko, jitume zaid utafanikiwa kuzid hata hao waliopata 1.7
Nazan hauna majuku ya msingi ya kufanya, jitahid kuizima hyo smartphone yko, na tumia simu ya kawaida eg nokia ya tochi, pia jitahid kutafuta kitu cha kufanya chenye manufaa wakati wa usiku ktk muda unaoangaliaga hyo porn, jiamin, zingatia mazoezi epuka hadithi na image za sex, ipende afya yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.