Ni kozi nzuri! ila inahitaji utundu wa ziada plus muongozo kutoka kwa walimu vyuoni. Naweza kusema same To computer science ila huku unajikita zaidi katika kutengeneza mifumo ya kuhifadhi taarifa kidigitali #Coding....
Apart na kutengeneza mifumo Unaweza kuwa mtaalamu wa Mambo mengi Kama vile...
Wewe naona ushamaliza au sio!?ila hakuna kinacho shindikana bro kikubwa mapambano iyoo PC ni basic requirements Tumeona almost Tumeona prospectus inataka nini mpka sasa hakuna anaeogopa apo pagumu lakni watu wanafauru kwanini sisi Tutishikee Then izo ni Negatives notion kwamba ardhi chuo kigumu...
habari zenu ndugu zangu napenda kujuzwaaa kuhusu mazingira ya chuo apo.na kwa upandee wa hostel ukoje au mAisha ya kupanga ukiwa first years naombeni muongozo wenu na ufafanuzi kuhusu ardhi university
Habari wadau!
Napenda kuuliza kuhusu Registration katika chuo cha ardhi kwa first years ambao Tupo sponsed by loan board upande wa ada yani first instalment ni lazima kulipa yote au inakuaje Naomba muongozo wenu wajuzi wa hili mimi niko selected in *Bachelor of science in information systems...
Habari zenu wakuu! Mimi ni miongoni wa wachaguliwa katika kozi tajwa apo naombeni #hits na mambo ya kuzingatia katika safari yangu hii katika chuo tajwa na upande wa mazingira ya chuo kama vile hostel MIM MKAZI WA DAR Gmboto .
[emoji23][emoji23][emoji23] GOD'S PLANNING tujifunzee kujiamini na sio wanavyo viamini watu baki hatima sahihi ya maisha ya mwanadamu iko kwa mungu yani
DREAMS/PASSION + EFFORT + prayers =Successfully.
That's how we define life.Ukiwa na passion kwa ulichonacho ni rahisi kukiangaikia kuliko kusubiri fursa ikufwate Hivyo vijana tunapotea kusoma kozi kutokana na mawazo ya watu utasikia oooh!"KASOME AFYA INALIPA AU ENGINEERING " pasipo kujari passion kijana anasomea mawazo ya watu end of days...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.