Kaka ukiweza kutoka hapo pia unstahili hongera ila hii ni asili kabisa ya mwanaume na tumelelewa hivyo. Tangu utoto unaambiwa na baba na mama ila haswa baba na kaka wakubwa usilie ww mwanaume, jikaze. Basi inajengwa hvyo tangu asili. Sis wengine tukiwa wenyw ni walaini mno, tunalia hata kwa...
Hakika umenena vyema mno. Unastahili pongezi japo umejifunza kwa njia ngumu kidogo. Mimi huwa ni muwazi sana lakini najigundua bado siwezi kuwa muwazi wa kiasi hicho. Mwanaume ni kiongozi tangu asili, kwa mke na kwa watoto pia. Kinachotakiwa ni level fulani hv ya uelewa kwa huyu kiumbe maana...
Nimefuatilia kwa ukaribu thread hii ya kilimo cha matikiti maji,kwa kweli nimefurahishwa sana na uchangiaji wa mada.hii ukiifuatilia inaweza kabisa kukuhamisha kutoka kweny hali uliyonayo ya kifikra na hatimaye ya kiuchumi ukifanya kwa vitendo.
Japokuwa awali kabisa nilikuwa na wazo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.