Nilianza rasmi process mwez wa kumi na moja 2025.nikapatwa na tatizo hapo kati nika delay kufuatilia.nikaendelea mwaka huu kuanzia January.nilikwama kwa muajiri kunifanyia verification...baada ya kumsumbua sana aka verify,nikarudi tena Ofisin Nssf.wakaniambia kuna baadhi ya vyeti havipo sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.