Kimsingi inasaidia sana. Kuna siku kiukweli, hangaika hangaika zangu kikawaida ziligonga mwamba, nilikuwa nahitaji 50,000. Kwa jamaa na ndugu nilikosa, nikakumbuka nilishawahi kopa TALA, nilifikishaga 40,000; nikawacheki tena, aisee, nilipewa mkopo wa 60,000. niliokolewa na huo mkopo. So ni...