Kati ya Vijana SHUJAA,MAHIRI na MAKINI katika mambo ya SIASA tulioweza kuwashuhudia katika uchaguzi wa Urais,Ubunge na Madiwani mwaka 2010 nchini Tanzania Amani Mwaipaja ni mmoja wapo. Kijana huyu aligombea Ubunge Jimbo la MOrogoro Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA na kushika nafasi ya pili akimwacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.