rais ni taasisi nyeti sana ya nchi. haiwezekani watu waigombee namna hiyo! Mungu atupe kiongozi anayetufaa ambaye sio kati ya hao ambao tunawaona wanajipanga kuingia ikulu kwa nguvu zao zote! ikulu sio pa kukimbilia namna hiyo!
Mungu IBARIKI TZ...
Tunasubiri kwa hamu sana hiyo hukumu, kwa mdau yeyote atakayeipata atujuze mara moja tafadhali....
tunaomba haki itendeke na ionekane kutendaka... sio ushahidi upo wazi halafu hatupewi haki....
Waziri Mkuu hakututendea haki kwa namna yeyote ile. kuanzia kauli ya Jenista Mhagama (katibu wa wabunge wa ccm) ya Ijumaa usiku na kauli yake mwenyewe ya jumamosi kwa waandisi wa habari. yaani hata kuzungumzia kwa ufupi tuu hilo sakata hakufanya hivyo.......
safari ya ukombozi inaongezewa nguvu! Mungu ibariki Tanzania, Jambo la msingi na kubwa kuliko yote ni kuwa makini na hawa makada wanaohamia cdm! wengine wana lao jambo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.