Recent content by Invarbrass

  1. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Lipumba aliomba kujiuzulu, kimsingi ni kituko na wanaomtetea ni vituko Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
  2. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba aanza kazi ofisini, aimarisha ulinzi

    Safii, prof. alijiondoa mwenyewe kajirudish mwenyewe pia
  3. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Fedha 'zilizofichwa' zitarudishwaje kwenye mzunguko? Wataalamu wa uchumi tiririkeni

    Si nilisikia pesa hazionekani kwa wale tu waliozoea wizi, ila wanaofanya kazi pesa wanazo, kumbe zimefichwa, dah watu wabaya wanatuumiza
  4. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Fedha 'zilizofichwa' zitarudishwaje kwenye mzunguko? Wataalamu wa uchumi tiririkeni

    Si nilisikia pesa hazionekani kwa wale tu waliozoea wizi, ila wanaofanya kazi pesa wanazo, kumbe zimefichwa, dah watu wabaya wanatuumiza
  5. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa jua ni ishara ya Mungu kumkubali Rais Magufuli

    Somo la sayansi kwa nchi zetu hizi zinazoishi pre scientific era kimwenendo lingekuwa lazima kwa kila raia hasa viongozi
  6. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Cheyo: Magufuli ni Rais aliyesubiriwa tangu Tanzania ipate Uhuru

    Njaa mbaya
  7. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    CUF ni maalim bwana
  8. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    kweli mkuu wote waende au waachwe
  9. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Hatimaye Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kulipia kodi

    Kama ilikubalika so za umma kwanini watu wanasumbuliwa kwa fedha binafsi.Hii issue ilisha washinda bora wote waawaache tu kuliko Ku double standard
  10. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

    pia anapenda kuongea sana wakati hata mwanafunzi wake mek mexime anamtesa. angekaa na kiwelu huko mwadui waongee mpaka bas
  11. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

    aende zake bwana kocha gani anyeogopa kuishambulia simba anajaza viungo wa ulinzi tu? Simba hii inayo teswa na stand Go maunited leo inaitoa jasho yanga iliyojaza wachezaji wa timu za taifa kibao. Je ikiklutana na zamaleki si itapigwa kumi>kumi. Go MASIKIO MASKIO
  12. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Didas Masaburi: Watanzania tumsaidie Rais kufanya Maamuzi Sahihi

    Kweli mkuu maana wakati mwingine kutotenda nikutenda pia
  13. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Didas Masaburi: Watanzania tumsaidie Rais kufanya Maamuzi Sahihi

    Kwa maslahi ya madiliko Rais anatakiwa awasamehe wote na kusema hawana hatia then ccm wafanye maandamano ya kumuunga mkono. Hapo rais atakuwa ameitendea haki nchi hii kwa kusimamia utawala wa sheria usiotakiwa kumuonea mtu.
  14. Invarbrass

    JamiiForums Tanzania Nchemba naye CCM tumtazame upya

    Eh eti ccm wanasubiri matokeo rasmi, ya uchaguzi huhuu?
Back
Top Bottom