Bei ya mbolea imepanda sana kwenye soko la dunia. Hii si Tanzania tu.
Prof. Mkenda au Bashe, hata mawaziri wabadilishwe, hawawezi kuzuia hilo ukizingatia Tanzania tunategemea mbolea kutoka nje, bei zikipanda nje na hapa lazima zipande.
Njia iliyopo ni subsidies na kwa sasa kwa miradi...
Tanzania kwa sasa mteja mkubwa wa natural gas si viwanda wala sekta binafsi bali ni Serikali yenyewe kupitia Tanesco. Wakati huo huo Serikali inajenga JNHS, hivyo kupunguza utegemezi wa gas katika uzalishaji wa umeme.
Viwanda vya sekta binafsi vinavyotumia gas ni vichache na hii inasababishwa...
Ni mshamba asiyeelewa concept ya separation of church and state.
Huyu si msomi ukilinganisha na watangulizi wake.
Nyerere amesali St. Imaculate siku za kawaida, almost everyday, na hata siku moja hajasimama kuhutubia watu kanisani. Mkapa hivyo hivyo.
Lakini huyu anaingia na kuhutubia na...
Anasema watu wanakufa kwa mipango ya Mungu. Anajivua lawama kwamba hata watu wafe wangapi yeye hahusiki, hana uwezo wala jukumu la kuzuia hilo.
Ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na anawapa kazi sana wasaidizi wake. Nahisi wameamua wamuache tu!
Hpaana. Ni hawa washamba tu.
Si Mwalimu, si Mkapa, ambao walikua wakatoliki haswa walitoa press baada ya misa.
Ushamba ni tatizo haelewi concept ya separation of church and state. Haelewi Tanzania ni a secular nation.
Hii speech ya leo imeonyesha ni jinsi gani amelishwa conspiracy theories.
Anaamini hii ni vita ya kiuchumi. Anaamini barakoa na chanjo zina malengo ya kutuathiri na si kutusaidia.
Anaendeshwa na imani zake na hana ushahidi wowote. Anaamini yeye ndo anajua kuliko watu wote. Anaonekana hapendi...
Mwalimu na Mkapa kusali kwao kote St. Peters na St. Imaculate Upanga, hata siku moja hawajawahi kupanda madhabahuni na kuhutubia. Hata kutoa Press baada ya misa hawajahi kufanya.
Hata siku moja huwezi kuona wanaenda kanisani na ma-camera.
Ni wasomi wanaoelewa kanisani ni jambo lao binafsi...
True but 1995 unamskia Lyatonga analalamika kuibiwa tu na ITV filtered news.
In 2020 unaona live kwenye social media askari na bags za kura feki.
Even a doubting Thomas now believes.
Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.
Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.
Pia, amefanikiwa kupanda mbegu za chuki kwa kuiiba kura / haki za watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.