Recent content by Introver

  1. Introver

    JamiiForums Tanzania Michango ya Harusi Single 100,000 na Dabo 150,000, watu wanaumia kimoyomoyo!

    Hii nakubali mkuu👍
  2. Introver

    JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Wagalatia 5:16 Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
  3. Introver

    JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Leo naaza rasmi hii challenge mpaka siku nitakapooa
  4. Introver

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Upo sawa mkuu. Ujumbe nzuri sana 👍🙂
  5. Introver

    JamiiForums Tanzania Neema ya Mungu

    Ubarikiwe sana mtumishi
  6. Introver

    JamiiForums Tanzania Neema ya Mungu

    Ubarikiwe sana mtumishi
  7. Introver

    JamiiForums Tanzania Epuka muhuri wa shetani

    JE! UNAJUA JAMBO GANI LITAMPATA MTU YULE, ALIYESIKIA UKWELI HALAFU HATAKI KUBADILIKA? Biblia inaeleza wazi kabisa kulingana na maandiko hayo hapo juu, Mtumwa yule aliyetangaziwa uhuru wake baada ya kutumika miaka 6 akakataa (Yaani akaona ni vyema kuendelea katika utumwa wake.). Jambo linalotokea...
  8. Introver

    JamiiForums Tanzania Alipitia Mateso Mengi Kwa Ajili Yako

    Ubarikiwe sana
  9. Introver

    JamiiForums Tanzania Njia gani mtu aitumie aweze kushinda tamaa na vishawishi

    Amina 🙏 karibu sana
  10. Introver

    JamiiForums Tanzania Njia gani mtu aitumie aweze kushinda tamaa na vishawishi

    Karibu sana
  11. Introver

    JamiiForums Tanzania Njia gani mtu aitumie aweze kushinda tamaa na vishawishi

    Amina🙏 Karibu sana ikiwa una swali lolote uliza
  12. Introver

    JamiiForums Tanzania Njia gani mtu aitumie aweze kushinda tamaa na vishawishi

    Seran njia hiyo
  13. Introver

    JamiiForums Tanzania Njia gani mtu aitumie aweze kushinda tamaa na vishawishi

    Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu, Ni swali ambalo linaulizwa na wengi, je ni kweli mtu anaweza kuzishinda tamaa za mwili? Au vishawishi vyake? Anaweza kweli kuacha dhambi ya uzinzi, au kujichua,au kutazama picha za ngono, au ulevi, au miziki, n.k.? Jibu la kibinadamu ni hapana! Na ndivyo...
  14. Introver

    JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Ndio Ipo njia unayoweza kuitumia kushinda uzinzi Nitaipost kwa kirefu kisha nikutag
  15. Introver

    JamiiForums Tanzania Mwili ni kwa bwana na bwana ni kwa mwili

    Je Mungu anaangalia mwili na kuihitaji?.. jibu ni Ndio!.. maandiko yanathibitisha hilo wazi kabisa.. 1Wakorintho 6:13 “Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. LAKINI MWILI SI kwa zinaa, BALI NI KWA BWANA, NAYE BWANA NI KWA MWILI”...
Back
Top Bottom