Recent content by interg can2

  1. I

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya kioo cha PC Used

    Naomba picha au model!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya kioo cha PC Used

    Inategemeana na pc mkuu,mana pia vioo vnamikanda tifauti na kuna vinene na slim kma utahtaji waweza kunitumia model au picha ya pc nikakusaidia...
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Well said bro, napenda kuongezea hapo in this era what i think ili kuhuisha Mustakabali wa Elimu yetu hususani katika aspect ya wito kwa wanafunzi ni Mifumo ya elimu yenyewe ibadilike "its time we create proffesionals not graduates". Hivyo kwa ngazi zote (primary-uni) vitu kama...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kidogo Online Shopping

    Shukran mkuu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kidogo Online Shopping

    Habari wadau! Naombeni msaada juu ya vitu vitatu kama kuna mtu yeyote mwenye ujuzi juu yake 1. Forwading company yenye gharama nafuu kidogo? 2. Secondly, mfano nimenunua bidhaa kutoka ama shopping market tofauti ie(aliexpress,ebay,amazon) kwakivipi naweza kuzikusanya ili hii mizigo yote iwe...
Back
Top Bottom