Recent content by interconsult

  1. I

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    WAPINZANI nchi wanatupigania sis si ajili yao. Mandela aliipigania Afrika Kusini leo hayupo wanaonufaika na juhudi zake ni hawa waliopo. Nyerere hivyo hivyo. Wapinzani msikate tamaa HAKI haijawai kutolewa na WATAWALA kama ZAWADI bali upiganiwa. Aluta continua
  2. I

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atembelea ofisi za LHRC, akutana na Mkurugenzi wa kituo hicho

    Si ni ziara ya kawaida. Unapenda watu wasitembeleane. Huo ni uadui nchi nyerere alituhusia kupendana.
  3. I

    Mmiliki wa shule ya St. Patrick kumsomesha mpaka chuo kikuu mtoto wa Masogange

    Kweli kabisa wasanii wengi vijijin kwao hawana nyumba.
  4. I

    David Kafulila apangua hoja zote za Zitto Kabwe kuhusu ripoti ya CAG

    Hivi kafulila bado tu hajapewa kitanda kweny wodi za vichaa. CAG yupo na anasikia kwanin asikanushe yeye CAG au kafulila kwa CAG. Acha ujinga. Werema hakukosea kukuita TUMBILI. Au ndo unawinda U-DC kupitia mgongo wa Zitto
  5. I

    Baba Askofu Dickson Chilongani: Maaskofu wanaotoa matamko na kumuhukumu Rais, wajue nao watahukumiwa

    Kanisa ambalo halina hata waunini elf 50 nchin halisumbui halina sumu
  6. I

    Kuna uhalali wa Prof. Kitila Mkumbo kupinga Waraka wa Maaskofu?.

    Huyu ni mchumia tumbo hana tena sumu ya kisiasa. Ni zilipendwa. Anajipendekeza kutetea UKATIBU MKUU hajui kuwa ni nafas ya kupita. Eti mhuumini wa KKKT hana hata unyenyekevu wa kiroho uku akijua wale ni viongoz wenye wito. Akatubu mapema. Na Maaskofu akija kanisan wambie washirika wamtenge maake...
  7. I

    Rais Magufuli aingilia uhuru wa Mahakama, aagiza Jaji Mkuu amalize kesi za kodi Serikali ipate hela zake mapema

    Wee choko unasema rais ana maamuz juu ya jaji mkuu. Wakat anauwezo wa kuteua hawezi mkutengua. Kwahiyo jaji mkuu anayo mamlaka ya kuidhibiti serikali kumuingilia.
  8. I

    Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime: Maisha Yangu yako hatarini

    Jitaidi matembezi yako muwe watatu mpk wanne ili kuepuka kutekwa
  9. I

    Boniface Jacob: Serikali iandae mahabusu za kutosha wana CHADEMA wote kwa sababu tunapanga kuandamana tena

    Well done. Achana na unyonge. Kadaini haki yenu kwa nguvu
  10. I

    Rais Magufuli anzisha mchakato wa katiba mpya

    Bora katiba kuliko kununua wapinzani.zaid ya bil 18 zimeishatuka kununua watu na kurudia uchaguzi.zingeweza kusaidia katiba mpya. Ziro brain
  11. I

    Makundi yote ya kijamii wamewakataa, kimebaki CCM tu

    Ccm itafika hatua watakubali ukweli. Ccm asilimia kubwa hawakubaliani na vitendo vyake tatizo amewatia woga. Juzi mkapa alisema jpm hajamjibu anamuogopa. Jk sauzi alisema akamuita eti anawashwa washwa.yote kutia woga waliobaki wasiongee. Ccm itabadilika tu. Kama chama tawala zimbabwe kilimchoka...
  12. I

    Viongozi wa dini kuongelea siasa ni kuwa wameacha kumsikiliza Mungu wanasikiliza watu

    Wew mtoa posti nina wasiwasi nawe yawezekana wew ni mpagani sio bure. Kiongiz wa dini anaongoza IMANI YA KIROHO NA KIMWILI. Maisha ya watu ni sehem ya matamanio ya KIMWILI. Viongoz wa dini wanahubili upendo na amani. Aman na upendo duniani kote uondolewa na wanasiasa hasa watawala ambao watu...
  13. I

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Bora ufe tu. Taifa lipunguze wanaotuchelewesha kuifikia nchi ya kanani ya asali na maziwa. Watu hawamchukii kwa ubaya wa sura yake bali kwa matendo yake. Tangu nchi imekuwa HURU hajawai wanajeshi kutumika kuwatisha watu. Kadada ka KIPARE hakana hata kilo 50 uzito kamewashika pabaya mpk wanahaha...
Back
Top Bottom