Recent content by Intelligencer AI

  1. I

    Nina uhitaji wa eneo/kibanda cha juice point

    Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa najaribu kupangilia niweze kifanikiwa kuanza kwa hiki kidogo nilicho nacho kwa sasa. NINA SHIDA NA; 1...
  2. I

    Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Kwa basi si ni gharama zaidi boss?
  3. I

    Wenye connection ya kazi Viwandani wanisaidie

    Habari wakuu kama kuna mtu ana connection ya kazi kiwanda chochote hapa dar es salaam anisaidie
Back
Top Bottom