Recent content by INRI

  1. INRI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuumiza na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima

    Kuwa na kiasi cha kauli. Hakuna anayejua kesho yake Mkuu. Dunia ni duara!
  2. INRI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Serikali imekosa uzalendo no wonder Polepole was elimu
  3. INRI

    JamiiForums Tanzania Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Naunga mkono hoja zako kwa 200%. Unaonekana ni msomi uliyeelimika na una uzalendo wa kweli kwenye nchi yako na sio serikali ya kihuni. Watu kama nyie ndio mnatakiwa kuwa viongozi, very unfortunately, tuna clowns kwenye sehemu nyeti za uongozi.
  4. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    Kwani Tanzania ina Rais? Agenda yetu kuu ni D9
  5. INRI

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

    kinaenda kuwaka vibaya mno. Tubanane humu mjini, mnakimbilia wapi?
  6. INRI

    JamiiForums Tanzania Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale wote wanaotaja kumng'oa mkoloni mweusi

    Familia hapa. Tutakuwepo! Karibu GAZA.
  7. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

    Ili waandamanaji wamsikilize mtu yeyote yule inabidi haya yatokee. 1. Kama vile wanavyo himiza watu wasiandamane kwenye vyombo vya habari, inabidi kwanza watoke kwa hiyo style kwa kuitaka serikali haramu iwajibike. 2. Uwajibikaji ikiwemo waliohusika kuachia ngazi hadi yule top wao. 3. Baada ya...
  8. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mufti wa Tanzania: Tunawasihi waislamu kutokujihusisha na maandamno ya Desemba 9

    Waandamanaji hawahitaji matamko ili kufanya maamuzi yao. Walishasema watatoka na itakuwa hivyo. Hata ashuke Malaika msimamo ndio huo. Kwanini Mufti asiiambie Serikali irejeshe miili iliyochukuliwa kwa nguvu na kuzikwa kusikojulikana? Kama kiongozi wa Dini ya haki, kwanini hakemei utekaji...
  9. INRI

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Habari Wakuu Lisaa limepita ambapo Jeshi kupitia Lieutenant wake wameenda kwenye Television ya Taifa kutangaza nchi ipo kwenye himaya ya Jeshi baada ya muda si mrefu nchi kuelekea uchaguzi Mkuu. Rais Platon hajulikani alipo kwasasa ila msemaji wa Serikali anasema yupo salama. Hii imekuja muda...
  10. INRI

    JamiiForums Tanzania Waislam kubalini Wakristo wamewazidi katika maeneo mengi nyeti. Kama haya kisha mjifunze

    Mimi ni Mkatoliki NAKATAA UDINI. Waislamu & Wakristo wote walipigwa risasi. Tunaungana kwa pamoja kumpinga Dikteta samia kama ilivyo kwa Magufuli na sio sababu ya DINI
  11. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali usiwapige Risasi vijana wetu, tuwasaidie!

    Imagine huyu ndio Msomi wa Sheria? Unataka watu walipoteza wapendwa wao na serikali imeficha miili yao, wakae tu na kusifia serikali kama wewe nyumbu? Unataka watu wakae kimya kuongozwa na Rais haramu wakae kimya huku anaendelea kutudhihaki na kuweka familia yake kwenye cabinet? Tutatoka bora...
  12. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    D9 tunatoka kukomesha haya maana ukikaa ndani utatekwa au kupigwa shaba kwasababu Uligoma kutoka kupinga UTEKAJI na hii Serikali haramu
  13. INRI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Una akili sana
Back
Top Bottom