Habarini za Kazi.
Naombeni msaada wa ushauri hapa. Nina mwanangu ana miaka mitatu na miezi sita na mwaka huu nimemuanzisha shule. Tatizo lake ni kwenye kuwasiliana imekuwa changamoto sana. Anaweza kuimba nyimbo za shule toka asubuhi hadi jioni, anaweza kuhesabu, kuandika na kusoma 1-20, Anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.