Hivi unajua unaweza Kutimiza Malengo Yako kama utaamini unaweza kufanya hivyo na tofauti na hivyo itakuwa vigumu.
Kushinda au kushindwa kunaanzia ndani ya fikra zako.
Kabla ya kuona uhalisia wenyewe, Je, fikra zako ni za ushindi au kushindwa?
Kila mtu unayemuona kwenye dunia hii ana masaa 24...
Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini...
Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha.
Mitandao ya...
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
Kaka Inawezekana sana
Unaweza kukopa kwa malengo la kuwekeza sehemu fulani labda biashara lakini siyo kukopa kwa lengo la kuanzia Han biashara lazima upigwe za uso
Kwa maana hiyo kukopa siyo vibaya bali unakopa kwa lengo gani?
Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku.
Inawezekana una...
Taarifa na maarifa sahihi chanzo kikuu cha kuwa na utashi na maamuzi sahihi katika machaguo ambayo unafanya
Hongera sana una content ya kipekee huwa sikomemti ila hii imenigusa Upo vizuri sana; congrats brother 👊🏾
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.