Recent content by Inna morata

  1. I

    Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Mm navyojuwa watu wamejenga vizuri tu basi tofauti ni kwenye mandhari,na mpangilio.
  2. I

    Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Ahaaaa kuzalima na maskini ni mpango wa Mungu ila kuolewa na tajiri ni maamuzi yako
  3. I

    Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Nyumba ya mbwa sasa😁😁😁😁unaambiwa wabongo wameenda kupiga picha, na wabasema hata wasipokula kuona ile nyumba wameshiba. Shikamoo mengi.
  4. I

    Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Kweli hata mm nimeona macho yamefurahi
  5. I

    Matajiri wa kitanzania mumeona mjengo wa Dkt. Mengi

    Kweli waswahili walisema," kuzaliwa na baba maskini ni mpango wa Mungu ila kuolewa na tajiri ni maamuzi yako. Rip Mzee mengi.
  6. I

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Najiamini kinyama wewe waacha na makelele yao.
  7. I

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Ndio kuna kazi za mwalimu zilitoka majuzi, bila shaka uliomba, ukipata ukafundishe watoto vizuri maana kubaki Jf bila kazi Nayo ni shida. kitu kidogo tu kukosea herufi mnakosoa as if hukuona kingine cha kusema? Uzi una zaidi ya mwaka humu hamchoki kusoma??
  8. I

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Unakuta mtu ni raisi ama professor na PhD zao hajui kati ya R na L, kuchapia ndio usiseme.sembuse mm? Asante kupungizia.stress zako hapa.na vile huna kazi unalala kwa shemeji sebleni, pole Dogo langu.
  9. I

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Huu Uzi utbali kileleni kama piere liquid fire😁
  10. I

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Nikiwa na stress lazima nifungue huu Uzi basi najikuta nachekaaa kama jinga hivi Huu Uzi utabaki kileleni.
Back
Top Bottom