Recent content by informer1

  1. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Kuna kwingine iyo 10000 ya chakula imepigwa na haijatangazwa na wanasema hawaezi kuitoa labda wawafukuze kazi
  2. I

    Hivi haya mambo yana faida gani kwa Walimu zaidi ya kutapeliwa hela? Nani aliyeturoga?

    Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
  3. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Ndo wanauliza wanaoandikisha malipo haya yanalipwa na vyanzo vya ndani vya halmashauri?! Kama zoezi linaratibiwa na tume uchaguzi kupitia kwa watumishi walioajiriwa na mkurugenzi kuna mambo yanatakiwa yaainishwe hii ni pamoja na pesa ya chakula kwanini baaabdhi ya halmshauri zitoe hela ya...
  4. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Mode rekebisha heading kila wilaya inalipa inavyotaka
  5. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa? Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi...
  6. I

    DOKEZO Afisa Elimu wilaya ya Sikonge (msingi) anakula rushwa, pia anatumia madaraka yake kukandamiza wengine

    Hawa jamaaa ni nouma we acha tuu mimi nina mautumbo ya huyo afisa elimu mpk maulozi
Back
Top Bottom