Mkufunzi wa masuala ya kodi kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), CPA Mary Ruhara, ameibuka mshindi wa Shindano la Insha la Wanawake katika Kodi Afrika, lililoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF).
Tuzo hiyo imetolewa , Septemba 24, 2026, nchini Rwanda, katika hafla...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ameagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Wilaya ya Kinondoni kupatiwa Hati za Umiliki ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi yake.
Chalamila ametoa agizo hilo Septemba 23, 2026 alipofanya ziara katika eneo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali inalenga kuifanya TBC kuwa chombo cha habari cha kimataifa, ili kuiwezesha dunia kufahamu mambo mbalimbali yanayofanyika nchini Tanzania.
Amesema mpango huo tayari umeanza kutekelezwa, ambapo Serikali inapanga pia...
Waziri Paul Makonda anazungumza na waandishi wa Habari leo September 24,2026: Nini tutarajie kutoka kwake?
https://www.youtube.com/live/NUMYM49QS1A?si=HsYH0Z1nlh-Rgepp
Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuzingatia misingi ya maadili, kuheshimu haki za kila mtu na kutimiza wajibu kwa ajili ya kustawisha amani.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Septemba 22, 2026, wakati Jumuiya hiyo ikitangaza kufanyika kwa Mkutano wake Mkuu...
Kesi ya uhaini inayomkabili
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo, ljumaa Septemba 18, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ikiwa ni mendelezo wa hatua ya ushahidi wa upande wa utetezi.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumatano Septemba 16 hadi leo saa 8:00 mchana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17...
Fr. Kitima amesema kuwa uwepo wa wagombea wengi wa nafasi ya Urais kutoka vyama mbalimbali katika uchaguzi wa mwaka 2025, tofauti na ilivyozoeleka, kulitokana na kuondoka kwa dhana ya ushindani wa kisiasa.
Amesema wagombea walikuwa wengi kwa sababu walitengenezwa kuwa wengi, huku akieleza kuwa...
Kituo cha Sheria na haki za Binadamu kimeungana na wadau wengine kuadhimisha siku ya Demokrasia Duniani ambayo inaadhimishwa leo September 15, 2026.
Katika Maadhimisho hayo unafanyika mjadala ukiangazia mambo mbalimbali kuhusu hali ya Demokrasia na suala la chaguzi.
Wadau mbalimbali...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda, amesema Serikali inatarajia kuongeza wanafunzi wengine 150 watakaonufaika na programu ya Samia Scholarship.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo 11, 2026 amesema wanafunzi hao watapata fursa ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa wito kwa Afisa Habari kuhakikisha wanatoa taarifa zenye tija, zinazosaidia kuzuia upotoshaji, huku zikibainisha fursa na jitihada zinazofanywa na Serikali, badala ya kujaza...
UN Women imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa kujiunga na kuwa mwanachama wa Mtandao wa Kimataifa wa Wajumbe wa Kitaifa wa Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women, Peace and Security Focal Points Network), ikieleza kuwa uamuzi huo utaongeza uwajibikaji na kutoa fursa ya kubadilishana uzoefu...
Mjumbe Maalumu wa Masuala ya wanawake Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika (AU), Balozi Liberata Mulamula, ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje katika Serikali ya awamu ya sita, ametoa salama za pole kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha Mume wake,Mzee Hafidh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.