Recent content by infor

  1. infor

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    Hivi kuna serikali bila wananchi? serikali inapata wapi pesa kwaajili ya kujenga miundombinu? Serikali kama chombo ina mandate ya kusimamia na ku-regulate miundombinu, ila si sahihi kufikiri mwananchi kutumia barabara ni upendeleo
  2. infor

    JamiiForums Tanzania Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

    Birds of a feather flock together, they know each other inside and out
  3. infor

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Awe makini. Wanaweza kurudi kwa njia nyingine, wakiwa in disguise. Kwa sasa mission yao ilikuwa ngumu kwa sababu last contact person alikuwa wao, hivyo watu wangeweza kudai majibu kutoka kwao. Lakini wakirudi in disguise, watasema hawajui chochote, wao walishamwachia. Kwa hiyo awe makini, game...
  4. infor

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Askari sita wa Jeshi la Polisi wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka 23

    Matukio ya polisi kuua watu ni kama ya kawaida sasa nchini. Binadamu hata thamani wala utu tena
  5. infor

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Huenda alitoa hayo maelezo akiwa chini ya shinikizo, hiyo nayo ni possibility
  6. infor

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    so sad, hawa ndio washauri wa rais
  7. infor

    JamiiForums Tanzania Ipi ni brand ya A.C nzuri zaidi?

    Nashauri Daikin zipo vizuri sana, pia brands zingine kama LG, Samsung nazo zinafanya vizuri. Njia rahisi, jaribu kucheck kwenye maofisi au majumba ni AC zipi zimefungwa, always kilicho bora kinavutia wateja Ndio, AC zenye inverter ni energy efficient!
  8. infor

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuishi na dada wa kazi ( house girl) muda mrefu?

    umesema yote, tumeisha naye sasa tunaelekea mwaka wa 11, ila tayari ameshapata mchumba. Ataondoka kwa sababu ya kwenda kuolewa
  9. infor

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa ofisi anahitajika

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu. MAJUKUMU -Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services) -Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi -Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
  10. infor

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

    Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi Uwakala wa simu...
Back
Top Bottom