Recent content by Indume Yene

  1. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

    :pNimecheka sana, utafikiri kama humjui. Sasa unafikiri ni nani ambaye anaweza kuzuia 5bn zirudishwe na hiyo deal apewe Gabachori kwa issue kubwa kama hiyo?
  2. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    Huyu si binadamu wa kawaida. Na mimi siwezi kuwalaumu viongozi wa CCM na serikali kushupaza shingo maana Mungu anataka AGANO LAKE lipite. Na ili agano hilo lipite basi linabidi lipite na watu liwe fundisho kwa viongozi wajao plus na watu wengine. Tumeshaona wale walioshiriki kumuumiza wengine...
  3. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Duh...hapo kwenye highlighted messages ndipo kuna kiini na utamu wa hii taarifa. Watu au vitu vya maana vikiishakutoweka ndipo mwanadamu anatambua umuhimu wake. I hope hii haitatutokea watanzania (Hopefully)
  4. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Hapa ndipo utaona umuhimu wa katiba mpya. Muhimili mmoja unapoingilia Muhimili mwingine. That means Muhimili mmoja hauko huru 🤭🙊🙆🏾
  5. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

    Muwaambie wale kijani na serikali yake kurudisha na mikopo yote waliyokopa toka kwenye nchi hizo ambazo mabalozi wake watafukuzwa nchini.
  6. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

    WATAKUWOWA (in Haya's voice)
  7. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Mwelekeo vipi wakati huo uongozi hata mwezi haujafikisha ukiwa madarakani. Very insanely, less than two weeks eti umepoteza mwelekeo. Sasa wakifika huo watamuomba msamaha Msigwa kwa yale madongo waliomrushia once he joined CCM?🤔🤭🙊
  8. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

    Akumbushwe tu kuwa A.L. Mrema alikuwa chawa wa MAVEGITEBO, ukisha kuwa chawa wa Mamboga basi you lose all the credibility. Nawaza tu.:RareWolf:
  9. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Ninamfahamu sana huyu mama, Mmh ni majanga. Pia ana tabia ya hovyo za kudhalilisha wafanyakazi hasa wanaume. I worked with her miaka ya 1998-2000. Duh, I feel sorry kwa wale watakaokuwa chini yake😜🙊
  10. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Kajianza yeye mwenyewe kujiinamisha kabla ya X haijainamishwa na TISIARAEI
  11. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Nimechekaaaaaa mbavu zinauma...lol 😂 😆 eti anakuwa kama Lucas Mushambwa
  12. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

    Mbao za Mafinga, Makambako, Njombe na kwingine zitapata soko zaidi. Maana huenda wakatumia bidhaa za ndani hasa mbao kuundia hiyo ndege. Na siku hiyo itanyesha mvua ya kinyesi....:VegetaPls::TriDance:
  13. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    Nafikiri huyu RC anatakiwa ajifanyie self-assessment kama anatosha kuongoza mkoa. Anaweza tu kurudi RUCU kuendelea na ufundishaji kule kuliko kukosa busara ya kuwasikiliza watu ambao wanasaidia kuingiza pato kubwa kwa mkoa na taifa. Sasa mbona Waziri hakutumia lugha ya kutumia majeshi. Hivi...
  14. Indume Yene

    JamiiForums Tanzania Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Nafikiri huyu RC anatakiwa ajifanyie self-assessment kama anatosha kuongoza mkoa. Anaweza tu kurudi RUCU kuendelea na ufundishaji kule kuliko kukosa busara ya kuwasikiliza watu ambao wanasaidia kuingiza pato kubwa kwa mkoa na taifa. Sasa mbona Waziri hakutumia lugha ya kutumia majeshi. Hivi...
Back
Top Bottom