Elimu yangu ni Shahada ya IT Undergraduate pia nina Postgraduate diploma ya Ualimu. Pia nina Uzoefu wa Kufundisha Ict Kwa Muda wa Mwaka mmoja kwenye academy moja hapa dsm.
Sina Shida Mkuu bali natafuta ajirà mpya nahitaji challenge mpya. Chuo
Sina shida Mkuu, natafuta Changamoto mpya. Alafu nikutajie Chuo alafu iweje? Ndiyo utanipa ajira ?
Mwalimu anatafuta Kazi Mahali popote Tanzania. Uzoefu wa Kazi Mwaka Mmoja Kama Mwalimu Kwa O-Level, nafundisha open school fulani kubwa tu hapa Dsm, pia nina ezoefu wa kazi wa miaka 2 Kwenye Sekta ya huduma kwa Mteja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.