Recent content by Indianapolis

  1. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Yule hawezi kamatwa maduro anamuogopa marekani kinoma ila anajikakamua Guaido anapendwa hapa town na baadhi ya miji ila vijijini hawana muda na siasa Maduro hawezi kuondolewa madarakani mwezi wa tatu russia ilimpa ulinzi kwani alishaomba hifadhi kwenda cuba ila russia ikaahidi kumlinda kwahiy...
  2. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Umeme upo ila fujo nyingi sisi wahamiaji yakianza maandamano tunaenda kijijini huko ikikaa ndani wanakusumbua
  3. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Wana wengi wenye ndoto za kuingia usa wamejiorodhesha km wakimbizi nikiwemo mimi apa ilA mimi siishi kambini UN wapo
  4. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Anafika ila watu hawashoboki nae sana
  5. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Umeshawahi kufika sio bila shaka ulikuwa Valencia wageni wengi wanakimbilia kule
  6. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Venezuela ilikuwa bypass ya kuingia kwa trump mzee
  7. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    'Nipo huku hawaruhusu kuchat ikiwa unatembea
  8. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Mi sio punda mi napiga harakati Get rich or die trying
  9. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Njia rahisi kuingia kufika huku nikupitia spain hasa catalunya
  10. Indianapolis

    Mtanzania ninayeishi Venezuela: Niulize chochote

    Madili yapo sema kimafia sana mi nilifika kwa kuunga unga Ila nsisubiria caravan ya September ili niingie state japo trump anapana
Back
Top Bottom