Recent content by Indiana Pacers

  1. Indiana Pacers

    Hakuna namna. Ni vita tu!

    Huu umetunga uongo
  2. Indiana Pacers

    Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Huyo TO wa 2013 alikutana na kihombo hapo UD wakasoma kozi moja ya petroleum engineering. Kihombo alirudi UD hiyo hiyo 2013. Huyo TO wa 2013 alikalishwa Kihombo alikua genius wa hali ya juu sana
  3. Indiana Pacers

    Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

    Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
  4. Indiana Pacers

    TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Yeye kupata div 1.14 o level haindoi ubora wake aliokuja kuufanya baadae. Messi mchezaji bora kuwahi kutokea lakini ukichukua takwimu za Messi 2005,2006,2007,2008 hakua lolote. Lakini huwezi kusema Messi sio mchezaji bora sababu huko 2007 alikua wa kawaida
  5. Indiana Pacers

    TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Kamaliza form 6 mwaka 2006, akawa TO akaingia UD kusoma Telecom Engineering alafu wewe 2007 mkafanya nae field tanesco? Utakua umemfananisha
Back
Top Bottom