Recent content by indian mark 2

  1. I

    JamiiForums Tanzania Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

    Hii nitaijaribu kesho nitaleta mrejesho hapa mana nishaona kama ni upuuzi mtupu kitu unanunua kwa gharama kubwa alafu linakuja kukuletea mazingaombwe
  2. I

    JamiiForums Tanzania Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

    Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti inakata kabisa mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhali. Ni sony home theater watt 1000
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    So nitajuaje kama ni mechi ipi imeshaondolewa option?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kuuliza hivi kwann sportybet kila nikiplace bet wananiletea hiyo kitu naomba msaada
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mainz **** kweli
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka huu uflex hata kwa match mbili usisahau hilo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka nijilipue hapo naombeni ushauri wenu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ushauri wangu nikuachana na haya mamipira ya miguu tuhamie kwenye basketball afadhali huko kuna pigika kilahisi sio kama huku kwenye football ndiyo maana jamaa wanaigeria wanapiga pesa sana huku na hawajisumbui na huu upuuzi wa football
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    One love chief
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi ukitaka kuflex sportybet unafanyaje mzee
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela hiyo
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu niliulizwa hivi kuna mtu yoyote humu anatumia M sport au anafahamu namna yakuchange code pale
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi jamani kuna mtu anatumia M sport humu anielekeze namna alivyojiunga
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahah
Back
Top Bottom