Recent content by inamankusweke

  1. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Tuwe macho, tusali, tusubiri mpaka tutakapomuona Nchimbi tena

    Siku zingine bwana mungu alikua akilala?
  2. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Nguruwe ana minyoo ambayo haifi kwa moto wa kuivisha nyama
  3. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Nguruwe hakuharamishwa kwa sababu ni laana Bali kwa sababu ana watoto/minyoo isiyokufa kwa moto na Ina madhara kwako,waziri wa afya marekani alitolewa mnyoo wa nguruwe kwenye ubongo,nguruwe kwa mujibu wa biology unayoijua sana,ni kundi Moja na binadam na vitu vyao vingi hushabihiana,kuanzi damu...
  4. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Hii nchi huko nyuma ilikua mbuga za wanyama,mpaka 1990s tabora pembezoni tu ya mji tuliwinda digidigi,sungura,nsha,siku hizi hata kwale hakuna,tunaoneshwa maeneo jirani tu na mji palikua na Simba,siku hizi ni fisi na bweha tu
  5. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Dr. Mbuyiseni Ndlozi: Who Gave You Power Mama Samia?

    According to the dear doctor,who gives power in Tanzania?
  6. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Huyo alisema Samia hagombei,alipogombea akasema hatoboi March
  7. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Epstein alikua jasusi wa mossad,nyaraka zinadai alikua na matambiko hatari kiasi Cha kujigeuza kuwa mjusi(reptile) na huko na wenzake akina Trump walitoa watoto kafara na kula nyama zao,unadhani waziri mkuu wa Israel hatokua na Kinga za uchawi kama albadir?
  8. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Albadir(ahlul badri/waislam waliouawa vita vya badri enzi ya mtume) siyo prayer(sala/Dua) Bali ni uchawi
  9. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Tuamini tu kweli mhadhiri kakamatwa kwa hizo sababu ulizosema,japo hujatupa ushahidi wowote na umetumia neno 'inasemekana' kwenye taarifa yako
  10. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Nchi Iko sawa tu,isipokua yenu mliyopanga oktoba hayakutokea ndiyo mnaona haiko sawa
  11. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    *Mada Maada zimegawanyika katika gesi,yabisi,kimiminika..hii ni darasa la Tano,pummbavu!
  12. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Uko shallow sana
  13. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Kuna watu wapo shallow sana hasa kizazi Cha 1980s mwishoni kuja 2000s,sijui Wana shida gani?..no critical thinking,hawasomi,hata kuandika na kutamka kiswahili shida
  14. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Inbreeding,kizaliwacho huwa dhaifu na defects nyingi,maradhi mazito na ya mara kwa mara
  15. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Mabinam siyo damu moja
Back
Top Bottom