Recent content by Immaculate Mary

  1. I

    Naomba msaada wa kuhusu unit za umeme ghetto kwangu

    Habari! Poleni kwa kazi Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20? Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto. Natumia pas ya umeme kwa nadra,nna taa 3 "zitumiazo umeme kidogo"japo huwa czm 1 uck , LED TV na jag la kuchemshia maj maana...
Back
Top Bottom