Recent content by imekuaje

  1. I

    JamiiForums Tanzania Simu yangu Oppo nafungiwa WhatsApp kila muda

    Habari. Juzi kama wiki mbili zilizopita nilinunua simu ya OPPO a9 , Nimejikuta namba zangu mbili site zimefungiwa WhatsApp Kwa sasa nimejaribu kutumia tatu na zote zimefungiwa. Naombeni mnisaidie shida mini wakuu?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  3. I

    JamiiForums Tanzania Poleni walimu na PSRS

    .
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Walimu usaili wamesitishiwa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Poleni walimu na PSRS

    .
  6. I

    JamiiForums Tanzania Poleni walimu na PSRS

    Usaili walimu umehairishwa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wewe na mm Hatuna kazi kwanini tuchoke
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sasa hii pdf ya leo sijaelewa wameanza kuchukua watu wa afya kama hawa wa leo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pdf wamekumbwa na nini jamani Hawaiiti tena watu kazini?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakuna pdf tena kaka ... Mpaka mwakani January.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Unafuata nini na wewe... Wakuu hivi hawa wahuni kwenye makarablasha yao hawana hata Majina ya kuita watu kazini.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uzuri wa psrs ni kama mwanamke aliyeolewa anakaza mchana usiku anabanduliwa kuna siku atatoa mzigo. So maamuzi ndo hayajulikani atatoa lini lia lazima aliwe. So watoe pdf wasitoe ni sehemu ya majukumu yao wenyewe. Ni kama ccm na upigaji wa kura.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hawajamaliza Ku update mfumo.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Manga kweli wear ni msababato jamaa mbishi sana. Ajira za afya walitoa kwa acc baadae wakatoa kwa PDf kesho yake. Walimu nao wametoa kwa acc pdf zinafuata baadae kesho
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Walimu
Back
Top Bottom