nipo makini bro. And I really need help. Kwa atakae kuwa willing kunisaidia nitampatia vithibitisho vyote. Sikupenda kuja kuanika shida zangu hapa ila ni kutokana kwa kukosa msaada na wazazi wangu hawana uwezo. Nina nia ya kusoma. ndio maana nataka msaada kwa mwaka huu tu mmoja mwaka ujao...
Habari ndugu zangu. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Nasoma sheria katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani morogoro ngazi ya cheti. Dhumuni ya kuleta ishu yangu humu ni kuomba msaada wa mtu yeyote atakae guswa ķunisaidia kunifadhili kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja.. naomba kwa yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.