Recent content by ImanuelNS

  1. ImanuelNS

    SOFTWARE Kwa mahitaji ya it services na digital marketing kwa bei poa (kutengenezewa Tovuti, mobile apps, Software, customized systems, branding)

    Karibu DALIUM TECHNOLOGY Tuna jiusisha na shughuli zote za design na Ki IT Kwa bei poa sana. Website kwa bei isoyozidi: 300,000 Customized Software kwa bei isiyozidi: 600,000 iOS App & Android App kwa bei isiyozidi: 800,000 Logo Design kwa 30,000 Poste/ Lebels / Ads na kadharika kwa bei poa...
  2. ImanuelNS

    SOFTWARE Kwa mahitaji ya it services na digital marketing kwa bei poa (kutengenezewa Tovuti, mobile apps, Software, customized systems, branding)

    Habari wana JamiiForum, Humu ndani. Utangulizi Dalium Technology ni kampuni ya kitechnolojia changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za kitechnolojia ( Tech Services ) katika ngazi za biashara binafsi, mashirika, taasisi na makampuni. Pia...
  3. ImanuelNS

    Fursa ya Biashara/ Ajira huru (freelance)

  4. ImanuelNS

    Fursa ya Biashara/ Ajira huru (freelance)

    Normal commisjon ni 30%. Ila pia kama kaz ina maslai makubwa negotitation inaruhusiwa kwa maana ya majadiliano ya juu ya ongezeko la asilimia ya commision lifikie had ngap.
  5. ImanuelNS

    Fursa ya Biashara/ Ajira huru (freelance)

    Habari wana Jamii Forum humu ndani! Utangulizi Dalium Technology ni kampuni changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za kitechnolojia ( Tech Services ) katika ngazi za biashara binafsi, mashirika, taasisi na makampuni. Pia inajihusisha na...
  6. ImanuelNS

    Natafuta kazi

    Habari wana Jamii, Mimi ni kijana wa kiume na Mtanzania nina Degree ya uchumi (International Economics and trade), tokea kwenye chuo fulani China. Nilikuwa kazini kwa almost mwaka miaka miwili hadi November 2021 baada ya kampuni kufunga na kusitisha shughuli zake hivyo kwasasa natafuta kazi...
  7. ImanuelNS

    Natafuta kazi

    Habari zenu wakuu kwa jina naitwa Imanuel Ni kijana Mwenye umri wa miaka 24 muhitimu wa bachelor degree in Economics ( International Economics and trade ) katika chuo kikuu cha Wenzhou inchini China. Nina experience ya kazi ya muda wa miezi 6 katika kite dogo cha marketing kwenye kampuni itwayo...
Back
Top Bottom