Recent content by Imanishy

  1. I

    JamiiForums Tanzania Namaingo business agency LTD wakijadili uwekezaji

    Pole zao, ila nyama ya sungura tamu sana Nadhani hakuna kitoweo nakielewa kama sungura na samaki. Mwenye mbegu nzuri a nicheck nipate wawili nifuge for kitoweo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Ni ngumu kumeza, why Zimbabwe?!! Urai wa muandaaji na msomaji ni upi? Huwezi changanya Tanganyika na Zimbabwe hata ukiwa ndotoni "TAFAKARI"
  3. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Steven Ulimboka anarudi leo saa sita mchana

    Welcome back, tumesikia mengi, tunataka kusikia tena kutoka kwako bila shaka ni wakati mgumu sana kwa wale waliojaribu kufanya walichofanya bila mafaniko. Tunasubiri ukweli zaid ili tuwe huru.
Back
Top Bottom