Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa — matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha.
Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua:
👉 kasi ya ukuaji
👉 gharama ya chakula
👉 ubora wa nyama
👉 na mwisho wake… faida au hasara
Kama unataka ufugaji wa...
Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja.
Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini.
Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi.
Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS 🎙️.
Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamu—
✔️ Je, kibiashara inawezekana kweli?
✔️ Ni aina gani ya nguruwe?
✔️ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo...
KUMBUKIZI
Kuna tofauti kubwa sana kati ya nguruwe wa kienyeji na nguruwe wa kisasa wa kibiashara.
Bila kufahamu tofauti hizi, mfugaji anaweza kuingia kwenye hasara bila kujua wapi amekosea.
Baadhi ya tofauti hizo ni pamoja na:
Kasi ya ukuaji na uzito wa kuvuna
Ufanisi wa chakula (feed...
📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA
“Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.”
—...
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima
Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Tutajifunza kwa kina:
1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu.
Jinsi ya kuandaa...
Kwa mujibu wa TAPIFA (2024)
🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka,
lakini huzalisha tani 27,000 pekee.
👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka.
Huu si upungufu wa kawaida —
👉 ni fursa kubwa ya biashara kwa wafugaji wa ndani.
🔴 Changamoto si soko...
📌 KUMBUKIZI
Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Kwa kupitia ufugaji huu, ameweza kujenga chanzo imara cha kipato cha ziada, bila kutegemea mshahara pekee.
👉...
KUMBUKIZI 📌
Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.
Kupitia kujifunza, kufanya...
Bila elimu katika ufugaji ni lazima ukushinde. Hapa mzee kwezi alitueleza jinsi ambavyo aliwekeza katika elimu kwa kusafirisha nchi mbalimbali kwaajili ya kujifunza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Lakini pia alivyotimia simu yake kwa kuingia na kutazama youtube ya rubaba Tv na nyingine kisha...
KUMBUKIZI 📌
Hapa ni zaidi ya Miaka m3 nyuma ambapo tulimtembelea Mzee kwezi na akatueleza na kutusanua fursa inayopatikana Katika Ufugaji wa ng'ombe wa Maziwa.
Hapa alieleza jinsi ambavyo ng'ombe 10 anaowakamuq wanampatia zaidi ya lita 220 kwa siku na kwa bei ya kipindi kile alikua anauza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.