Tume yote ya taifa ya Uchaguzi inateuliwa na Raisi ambaye ni mwana CCM. Watendaji wote wa Tume wanateuliwa na Raisi ambae ni mwana CCM. Wakurugenzi wote wa Halmashauri ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi wanateuliwa na Raisi ambae ni mwana CCM. Mkuu wa Polisi ambaye anateua ma RPC anateuliwa na...
Sikatai ulichosema na tena ni ushauri mzuri kwa wagombea ubunge toka CDM. Ila itapendeza sana kama ushindi wa CCM utatokana na kura halali za watanzania. Nachojua mimi CCM imechokwa na watanzania wengi haina jipya wala wagombea wake hawana jipya. Ndio maana badala ya kumwaga sera wanaishia...
Leo Tarehe 28/09/2015 Nimeshuhudia jambo ambalo nila kushangaza na kuhuzunisha sana hasa katika kipindi hiki ambacho Tume ya Uchaguzi na wasimamizi wengine wa uchaguzi wakiwepo polisi wanatakiwa kutenda sawa kwa wagombea wote.
Toka asubuhi wakati Mgombea wa CCM Dr. Magufuli anatako hotelini...
Research ya kupikwa. Wasomi wazima wanajizalilisha kwa vijisenti vidogo walivyopewa. Fanyeni kazi kisomi acheni kununuliwa na kuwadanganya wananchi. Majibu ya kweli ni October 25. Twaweza mmetia aibu.
Ni muda sasa walimu wamekuwa wakiedai Serikali ya CCM Malimbikizo ya fedha za likozo na kupandishwa vyeo. Mwanzo serikali ya CCM ilisema inataka ihakiki kwanza madai hayo ya Walimu.
Uhakiki huo umefanyika na ni muda mrefu sasa toka uhakiki huo ukamilike. Cha kushangaza malipo hayo mpaka sasa...
Mtu Makini hufanya utafiti kwanza wa kitu anachotaka kuandika au ku post. Hakuna aliyekudiwa kumsindikiza Lowasa na wale sio utamaduni wa CDM au Lowasa kufanya hivyo. Mabingwa wa kufanya hivyo ni CCM walioko Mochwari wakisubiri kuzikwa tarehe 25/10/2015
Huku nikuchanganyikiwa kwa ikulu na chama tawala. Pia ni kuendelea kumzalilisha Jaji Warioba na wajumbe wengine wa tume. Kama ccm walikuea na yao wangeyaweka mapema mbele ya tume ila sio madudu yanayofanywa na ikulu na Viongozi wa juu wa ccm. Ccm na ikulu mnatia aibu sana. Pole sana Jaji na...
Pingamizi ni juuu ya uraia wake. Inadaiwa ana uraia wa nnchi mbili na baadhi ya walio mzamini kwenye form yake sio wapiga kura wa kalenga kama sheria inavyotaka
Taarifa Nilizozipata Kutoka kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga na Kwa Baadhi ya Makada wa CHADEMA ni kwamba CHADEMA kimeweka Pingamizi kwa Mgombea wa CCM.
Ni pingamizi gani naendelea kufuatilia nikipata nitawajuza.
Zito si chochote wa lolote cdm kama sababu za msingi za kumfukuza uwanachama zipo. Ni halali yake kufukuzwa. Tunahitaji waadilifu na waaminifu na wenye uzalendo na chama kwa sasa. Sii kupe zito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.