Am working out of the Tanzania mpya ya viwanda , one day i will prove him wrong , over the plans he thought to be of the fact even cancel your positive altitude .
good day
kwani kila kizazi ilikifanikiwe sio swala la theory that mtu fulani mwenye mtazamo fulani, kwani yeye alitoa wapi hizo theory , alijaribu kubuni au kuzifanyia kazi hizo theory ndipo akaja na msimamo wake kuhusu swala hilo. okey ninaongea nimekuwa na tafifi zilizo nichukua miaka mitano kwa maana...
Swala la msingi ni kuja na strategy za pamoja kama taifa la watu wasomi katika kuonesha jitahada za mfumo mpya wa uchumi ambao ni zao la utashi wa watanzania na ubunifu wao ili kujipatia Tanzania ya Viwanda.
Inawezekana kuwa na tanzania ya viwanda kama watu wote watakuwa tayari kuwa na wajibu...
kame elimu uliyo pata inakufanya kuwa na wajibu wa kuwatumikia watu hata kama hauna nafasi ya kiofisi inayokufanya kuwa mtumishi wao . basi unayo nafasi nzuri ya kufanya mapinduzi. na mapinduzi yoyote huanza ndani ya mtu mmoja na elimu inakuwa na tija anapotokea mtu aliyeweza kuitumia elimu...
ndugu zangu tunapoongelea dhana ya viwanda kwa taifa kama tanzania ni dhana inayotekelezeka. maendeleo yoyote hayanzi na kundi la watu ispokuwa mtu mmoja anapoweza kuona fursa ndipo wengine nao wanaona fursa. so uwezo wa kuwa na viwanda vya aina zote upo mikononi mwa watanzania wenye nia ya...
Tanzania ya viwanda tunayoitaka yenye kutengeneza fursa sawa za ajira kwa watanzania wenye vigezo sawa. ni lazima iwe ni matokeo ya watanzania wenyewe. Wasomi wa Taifa hili ni lazima wajitengenezee utaratibu wa kutoa mchango katika ujenzi wa taifa na si kukaa chini na kusubiri serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.