Recent content by imani mbao

  1. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Nimekuelewa mkuu, asante kwa kunikumbusha. Nitazingatia
  2. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Mkuu, matarajio yangu ni mshahara kuanzia laki 4 hadi laki 6 kulingana na majukumu ya kazi., nipe mchongo ndugu yako.
  3. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Mkuu niko tayari kwa makubaliano ya mshahara kulingana na kazi
  4. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Wakuu salam, Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria. Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo. Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati… baada ya yote, niseme shida yengu nini? Ikiwa kuna nafasi yoyote ya udereva, PSV, shule, kampuni au...
  5. I

    Wabongo tunapenda kushadadia vita vya wengine bila kuelewa! Mbona tunashindwa kuwa na utu?

    Wakuu, Mimi ni mwanachama mpya humu JF kwa upande wa kuchangia. Huu ndio uzi wangu wa kwanza tangu nijiunge, lakini leo nimeona niandike maana moyo wangu umebeba uzito mkubwa sana kuhusu haya mambo yanayoendelea duniani. Nimekuwa nikifuatilia yanayotokea kwenye vita mbalimbali – iwe ni Israel...
Back
Top Bottom