Recent content by ImanHB

  1. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Mafanikio ni jitihada na bidii zako mwenyewe
  2. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Usingoje mpaka mtu mwingine aje kuitumikisha elimu yako, ni vyema ukaitumikishe mwenyewe kwanza ndo ikusaidie
  3. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Thubutu unaweza. Kuna shughuli nyingi zakibiashara ambazo unaweza kkujikwamua kimaisha shughuli hizo ni kama; Utengenezaji wa sabuni za maji na miche Kuanzisha kitalu cha miti na miche ya matunda Kuanzisha bustani za mbogamboga Ufugaji wa kuku Ufugaji wa samaki Ushonaji wa nguo (cherehani)...
  4. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Pole sana jitahidi kutafuta suruhisho ikiwezekana funngua hata biashara.Na km tatizo ni mtaji wa fedha, biashara haihitaji mtaji mkubwa wa fedha, ila inahitaji juhudi kubwa na nidhamu. Huo ndio mtaji wa biashara. Ukijituma na kuwa na nidhamu ya fedha unaweza kuukuza mtaji wa elf 15 kuwa milion 15.
  5. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Thanks, Hata serikali inatakiwa ilione hili itusaidie kutupatia elimu ya ujasiliamali katika na pia ifundishwe shuleni kama masomo mengingine kwa ngazi zote za elimu. Sio mpaka mtu afuzu kidato cha nne au cha sita akiwa na vigezo ndo akajiunge na chuo cha biashara, tutashindwa kabisa
  6. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Kweli kabisa hata mimi nishawahi kushiriki forex hivyo ushuhuda wako unajitoshereza
  7. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Kama tuko pamoja kwenye mjadala huu naomba ushirikiano wenu katika kuiendeleza kampeni ya maendeleo ya taifa letu Pia usisahau kuacha kura yako juu ya andiko hili kama umeguswa Mungu akubaariki.
  8. ImanHB

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kodi mpya ni nini? Serikali inalenga nini kwa umma kuongeza tozo mpya kwa mlipa kodi kupitia miamala ya mitandao?

    KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
  9. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Kidogo ulicho nacho ndio msingi imara wa mafanikio makubwa ya baadae
  10. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
Back
Top Bottom